Friends karibuni sana kwa sherehe kesho!

Friends karibuni sana kwa sherehe kesho!

Tangazo nzuri

BTW; Nani anaweza kuniwekea list ya Postgraduate courses zinazotolewa UD?
 
Any away kwa sasa tunapata mbuzi choma, kuku choma na vinywaji murua maeneo tulivu,pia muziki tukiwa na good friends kutoka hapa hapa jukwaani, na hakuna hata sisimizi ataumizwa...

It is for connections na kufurahi baas
 
Back
Top Bottom