Friends (Marafiki)

Ndio maana nili ku miss sana 😛ray2:

Yaani no words can express my feelings..... ngoja niibe ya whitney.... (written by Baby Face).......


YouTube - ‪Count on me (subtitulada); Whitney Houston-Cece Winans‬‏
 
Wapo tena wengi tu. Kama huamini subiri; ama upate kazi nzuri au biashara yako ioneshe mafanikio kiuchumi. Sorry...! That's too negative.... Subiri matatizo yakupate na uwajulishe watu.... Katika sehemu zote mbili marafiki utawaona......tofauti yao ndogo tu.

Wale wa aina ya kwanza watakuwa wengi na muda wote wanatabasamu na watakusifu sana kwa uzuri na ukarimu wako. Aina ya pili watakuwa wenye majonzi na watakuwa bize kuhakikisha unatoka salama kwenye matatizo yako baadhi yao wanaweza hata kukukaripia utadhani wamekuzaa wao.

Usipokuwa mwangalifu sana unaweza kuwatimulia mbali aina ya pili kwa kuwa hawana stori tamu zaidi ya vihekima vya hapa na pale. Mara ooh! mipango ya Mungu! Mara ooh! jikaze...! Aaaghhh...... they are not even sweet enough kwa sababu si wengi kati yao hukumbuka kukwambia umependeza na kusifia ukarimu wako maana muda huo hawana. Katika hili wale wa aina ya kwanza wanaongoza.

Me! I love the second type! They are my people and I care for them more than I you can imagine.

I dont "biliv" friendship exist!
 
Well explained Thanks .. mimi penda number 2 pia...
 
hilo limbwata alilokuwekea huyu binti ni la tandahimba! mweh!
HahahahahahaKing'ast wewe mmmhhhUmeniacha hoi.Nway huyu Ivuga sijui Ntampa nini tu dearHiyo zawadi nono hapo juuuYanichekesha kweli
 
A friend is someone who reaches
for your hand and touches your heart and
Friendship is like Golden thread that binds two hearts...

I wish you happiness,laughter, peace and love..
Have a blessed and wonderful weekend
AD..

AD

It was an inspiring message, could not let it go bila
Ku comment hata kama ilikua next page…
Bless you kwa kujali, maana hua tunajisahau
MMU na kuleta tu mapenzi na mahusiano…

Hope you are well and good.
 
ADIt was an inspiring message, could not let it go bila Ku comment hata kama ilikua next page…Bless you kwa kujali, maana hua tunajisahau MMU na kuleta tu mapenzi na mahusiano…Hope you are well and good.
HeyMambo vipi mpenziNdio nini tu kupoteA ghafla Kiasi hicho?? Dahhhhh nimefurahi kukuonaKaribu tena dear
 
HeyMambo vipi mpenziNdio nini tu kupoteA ghafla Kiasi hicho?? Dahhhhh nimefurahi kukuonaKaribu tena dear


AD dear Mambo yapo pouwa sasa... yaani hata mimi sikujua itakua hivyo
but sasa everything is good. Nimefurahi pia kukukuta hapa (I bliv well and gd...)

Mambo niaje lakini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…