King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,855
- 24,925
hilo limbwata alilokuwekea huyu binti ni la tandahimba! mweh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nili ku miss sana 😛ray2:
Count on me through thick and thin
A friendship that will never end
When you are weak I will be strong
Helping you to carry on
Call on me I will be there
Don't be afraid
Please believe me when I say (Please believe me when I say)
Count on....
(You can count on me, oh yes you can, ahhh)
I dont "biliv" friendship exist!
Well explained Thanks .. mimi penda number 2 pia...Wapo tena wengi tu. Kama huamini subiri; ama upate kazi nzuri au biashara yako ioneshe mafanikio kiuchumi. Sorry...! That's too negative.... Subiri matatizo yakupate na uwajulishe watu.... Katika sehemu zote mbili marafiki utawaona......tofauti yao ndogo tu. Wale wa aina ya kwanza watakuwa wengi na muda wote wanatabasamu na watakusifu sana kwa uzuri na ukarimu wako. Aina ya pili watakuwa wenye majonzi na watakuwa bize kuhakikisha unatoka salama kwenye matatizo yako baadhi yao wanaweza hata kukukaripia utadhani wamekuzaa wao. Usipokuwa mwangalifu sana unaweza kuwatimulia mbali aina ya pili kwa kuwa hawana stori tamu zaidi ya vihekima vya hapa na pale. Mara ooh! mipango ya Mungu! Mara ooh! jikaze...! Aaaghhh...... they are not even sweet enough kwa sababu si wengi kati yao hukumbuka kukwambia umependeza na kusifia ukarimu wako maana muda huo hawana. Katika hili wale wa aina ya kwanza wanaongoza. Me! I love the second type! They are my people and I care for them more than I you can imagine.
A friend is someone who reaches
for your hand and touches your heart and
Friendship is like Golden thread that binds two hearts...
I wish you happiness,laughter, peace and love..
Have a blessed and wonderful weekend
AD..
HeyMambo vipi mpenziNdio nini tu kupoteA ghafla Kiasi hicho?? Dahhhhh nimefurahi kukuonaKaribu tena dearADIt was an inspiring message, could not let it go bila Ku comment hata kama ilikua next page Bless you kwa kujali, maana hua tunajisahau MMU na kuleta tu mapenzi na mahusiano Hope you are well and good.
HeyMambo vipi mpenziNdio nini tu kupoteA ghafla Kiasi hicho?? Dahhhhh nimefurahi kukuonaKaribu tena dear