Jana nimekusamehe, leo usipokuja nayo ukatafute pa kulala. Lol
Una mkwara lol
Haha...wife nilipata mtu akanambia atanletea leo town ila kawa mteja mpaka kumi na moja ndo ananambia yuko posta na mm nlikua naenda kuangalia game...
bila mkwara hivi vidume vitatufanya mikia. Hujambo wewe?
ok, kesho utaleta na malimao gunia mbili kama adhabu.
Sijambo shikamoo!
Khaaaa.....yote ya nini sasa?
mentor ana maharaka, hataki mchezo na mambo ya uumbaji.
hahahaha, mie nimekusubiri sana ila hakijaharibika kitu, hata kesho pia shwari. Huyu shem langu la ukwehe Vin Diesel akuhudumii?. Bora urudi kwa nitonye au uende kwa The Boss (jina lake linanukia pesa).
hahahahaha! Sasa shem Vin Diesel ashakuwa zigo la kuni. Hebu ongea na The secretary akutupe kwa bepari la mjini Bishanga. Hapo nahisi utakula magud tym kwa kijiko.
Heheehe yaani nikibahatika kuingia kwa bepari Bishanga itakuwa poa sana lol.......shemejio zigo mama.....natafuta pa kulitua tehe tehe......afu unikumbushe kesho nikija kwenye mkutano nikupe boooooonge la mchapo.....kesho ni zamu yangu kwenda sokoni hivyo lazima niibe mi5 asee!
kant wait mpendwa, natamani kukuche haraka hapa tukutane makutano. Nitalala nawaza makutano tu mwenzio. Hahaha!