AH forever
Senior Member
- Sep 9, 2024
- 139
- 189
Ndio ipo unless iwe imehamishwa na madogo tuJe iko bado funguo yake?
KAZI ni kipimo cha utu
KaribuNice
Vibali vya namna gani boss. Si hizi tu tunaenda Kkoo shop,unaanziwa labda 700k,mnaanza kuburgain mpaka mnakuja kufika bei labda 670k. Unalipa,unaambiwa Warranty labda 1yr then unapakia kwenye bajaji unasepa kitaa.una vibali vyake na kadi yake?
Ongeza ongeza bossNaomba nilipie laki 3.
KAZI ni kipimo cha utu
Changamoto kipato ndugu.Ongeza ongeza boss
Hakika.Faida yake itaonekana kiangazi
Piga simu labda unaweza bargainChangamoto kipato ndugu.
KAZI ni kipimo cha utu
IPO 300Piga simu labda unaweza bargain