Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nunua Kama huna hela Kaa kimya....ukishambiwa Bei ya mpya utahamia kwenye swali la kwanini anaiuza....Tuanzie hapo kwanza. Mpya bei gani?
Kwa hiyo used anauza bei almost sawa na mpya?
Kwa hiyo used anauza bei almost sawa na mpya?
mmh leta 300,000/ bossChukua 150,000/ mkuu
kaweka namba hapo juu ni vyema ukampigiaBado ipo?
ongeza boss wangu upate kitu kizuri chenye guaranteeKuna 230,000/=hapa haina kazi mkuu
Unaposema linatumia umeme kidogo saaaaaana, tuanzie hapa kwanza, ni energy class ipi? Most electric efficient fridge ina class A+++ na inakuwa certified, tuoneshe certificate pia tuoneshe walipoonesha kwh per year then tujue ni kidogo? Unapoongea jambo kuwa na uthibitishoHabari za jion wanajamiiforum.
Friji aina ya Westpoint inauzwa ina ujazo wa lita 90, inatumia umeme kidogo sana na ina warranty ya miaka 2 ya Westpoint Service Centre...bei yake tsh300,000/=
Ipo Dar es Salaam piga/whatsapp 0653324693
KARIBUNI.
View attachment 2015578
View attachment 2015583
ndioo ipo....karibu
ina 0.3unit/24hrs....find attached.Unaposema linatumia umeme kidogo saaaaaana, tuanzie hapa kwanza, ni energy class ipi? Most electric efficient fridge ina class A+++ na inakuwa certified, tuoneshe certificate pia tuoneshe walipoonesha kwh per year then tujue ni kidogo? Unapoongea jambo kuwa na uthibitisho View attachment 2025047
Huu ni mfano wa class A++ ikitumia unit 280 kwa mwaka yaani unit 0.7 kwa siku ikiwa mpyaaaaa
![]()
What’s the difference between A+, A++ and A+++ appliance energy ratings?
When you’re looking to buy a new washing machine, fridge or freezer, you’ll see they have an energy rating – but what’s the difference between A+, A++ and A+++?www.savemoneycutcarbon.com