Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata usijali 'serengeti boy wangu' riziki yako ya kung'oa watoto wakali wa JF mwaka 2019 iko pale pale maana wanajua fika kuwa nakutania wewe ungali mwanafunzi wa darasa la 7 'D'
Hakika huyo mwanamama amejiongeza kuliko kukaa kibarazani na kupaka hina huku akipiga umbea atakuwa anakaa zake kibarazani akifunga ice-cream na marafu yatakayo iongezea kipato familia yake.
Asante sana, Mkuu.ni nzuri iyo amejiongez ela za kodi na umem mtegemee yey sometime we nyingine kagonge balimi
Sent using Jamii Forums mobile app
masikini akereki.Kero ya kuuza barafu ni watu kuzoea nyumba yako
Italipa vizuri tu kama huyo mlengwa atakuwa sehemu ambayo kuna wateha wa hivyo vitu, yeye ni mchakalikaji yaani kutafuta wateja na vile vile yupo around muda anapohitajika. Pamoja na Friji mnunulie cool box ili kama anapata mtu wakumzungushia, anakuwa natoa juice in the morning then someone can pass through places where people normaly have mitoli na soup wanaweza kununua na juice mradi iwe original siyo za kopo. Mnunulie na blender ya kutengeneza juice au mixer. You wont regret.
Nasema hivi nina mdogo wangu anasomesha watoto sababu ya hii kitu ingawa ana na kigenge nje ya gate.
Ndio Mkuu, tuko jirani sana na bahari. Unaonaje nikichukua friza badala ya friji ambalo ni la kawaida lenye freezer na sehemu ya kupooza yaani (friji)Ni wazo zuri hilo la Biashara. Pia hutegemea na aina ya wateja wanaowazunguka. Mfano kama mnakaa karibu na bahari - wauza samaki watakuwa wateja wenu wakubwa wa mabarafu. Au kama mpo karibu na shule ya msingi - mtapata wateja wengi wa ice cream. Chamsingi kabla ya kuanzisha biashara fikiria kwanza na soko la bidhaa zako lazima utatoboa.
Dah....
Dah....
Tafuta kwanza uzoefu baby..
Unataka mghahawa wa aina gan?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupika unajua?[emoji39]Naanza na mdogo kwanza kwenhe frame kama chips,then taratibu unakua
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hujawahi hata kujifunza au kujishikiza kwa mtu kwenye hii biashara,