Friji inaweza kuwa chanzo cha mapato kwa mke nyumbani?

Happy new year, inamaana haina freezer? Hiyo ni muhimu sababu kama ikibaki anaweza gandisha sababu akipata mtu wa kuzungusha inabidi iwe ya baridi unless kama nilivyokueleza awe na cool box. Mdogo wangu anayo na inamsaidia kuweka vinywaji vyake baridi pale anapouzia. Barafu ni mhimu za size mbali mbali kwa uwezo wa kila mtu. Nunua zile plastic bags colourless ambazo hazina madhara kwa binadamu.
 
Natamani nipate make kama wako.
 
Kijana unamlipaje!? Ice cream zako ni za Bei gani moja, na minimum anatakiwa auze ngapi?
 
Ndio Mkuu, tuko jirani sana na bahari. Unaonaje nikichukua friza badala ya friji ambalo ni la kawaida lenye freezer na sehemu ya kupooza yaani (friji)
Nunua friza "no frost".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…