Friji inaweza kuwa chanzo cha mapato kwa mke nyumbani?

Friji inaweza kuwa chanzo cha mapato kwa mke nyumbani?

Nakushukuru sana Mkuu, tayari nimemnunulia brenda aina ya Philips mpya 800W, na hii brenda ndio imempa sana hamasa na hii biashara aliamua kubuni maana huhitaji wa bidhaa hizo hasa barafu ni mkubwa sana na sikuweza kufikiria hilo kwa kuwa friji nilalotumia ni la kupooza tu.
Happy new year, inamaana haina freezer? Hiyo ni muhimu sababu kama ikibaki anaweza gandisha sababu akipata mtu wa kuzungusha inabidi iwe ya baridi unless kama nilivyokueleza awe na cool box. Mdogo wangu anayo na inamsaidia kuweka vinywaji vyake baridi pale anapouzia. Barafu ni mhimu za size mbali mbali kwa uwezo wa kila mtu. Nunua zile plastic bags colourless ambazo hazina madhara kwa binadamu.
 
Wakuu, nimejibana nimepata shilingi 1million mke wangu amenishauri nimemnunulie friji kuanzia laki 5-8 pesa itakayo baki laki 2 afanye kama mtaji wa kuuza barafu, Ice cream na juice. Naomba ushauri wenu je hii biashara inaweza inaweza zaa matunda na kurudisha hiyo pesa? Natanguliza shukrani.
Natamani nipate make kama wako.
 
Sana tu,tena kama mazingira yanaruhusu atafute kijana awe anamuuzia barafu kwa kuzunguka sehemu mbalimbali mjini kwa kuziweka kwenye deli kubwa akitumia baiskeli,mimi ninafanya hivyo pesa ya kula inapatikana hapo kwa asilimia 90

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana unamlipaje!? Ice cream zako ni za Bei gani moja, na minimum anatakiwa auze ngapi?
 
Ndio Mkuu, tuko jirani sana na bahari. Unaonaje nikichukua friza badala ya friji ambalo ni la kawaida lenye freezer na sehemu ya kupooza yaani (friji)
Nunua friza "no frost".
 
Back
Top Bottom