Ukitaka kujua kwanini AS Vita wamewauza hao wachezajj kwa Yanga angalia stats zao.Uliwaona wapi wakicheza?
Unafikiri Vita ataiuzia yanga wachezaji wawili kutoka first eleven kwa 430m?
Umeangalia stats zao?Hapa Yanga wameutendea haki mpira wa bongo
Wachezaji wawili kwa 430M. Ina maana ukiongeza mmoja unapata thamani ya Luis MiquissonKumbe inawezekana kusajiri toka timu kubwa,basi simba kuna walakini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kufananisha Bavarians na takataka kama hizoSisi bayarn munshen wa Tanzania wakifanya vizuri kama kawaida yetu tunapita nao.
Wachezaji wawili kwa 430M. Ina maana ukiongeza mmoja unapata thamani ya Luis Miquisson
Soka la bongo ufauri mwingi ndiyo maana mkataba unafungiwa hoteliniHivi hawanaga sehemu nzuri ya kukaa wakati wanawasainisha?kila saini wanafanya kwenye makorido na nyumba za watu ndo maana mikataba inakuwa feki
Mbona munaanza kunyampanyapa mapema! Mnajifanya mna hela kutegemea wazee waliomaliza mikataba! Sisi tusajiri mchezaji tubayemtaka sio kusubiri waliotemwa na timu zao! Kuweni na adabu mikia
Soka la bongo ufauri mwingi ndiyo maana mkataba unafungiwa hotelini
Wapi nmeweka unazi wachezaji wengi wanafumuliwa na makocha wazawaHakuna Klabu ambayo haijawahi kusainisha mkataba hotelini, masebuleni wala bafuni. Sote tumewahi wala hakuna wa kumcheka mwingine. Tuzungumze habari ya soka unazi tuuweke pembeni.
Hawa hawana tofauti na moringa
Power dynamo uliona lini ikishiriki club bingwa? Utaweza linganisha na As vita ambao kila mwaka wapo?Utopolo wameamka msimu huu, naona wako makini kinoma. Hawakosei.
Huyo Tuisila Kisinda ndio alianza mwanzo mwisho kipindi AS Vita inatugonga bao 5 , pia alicheza mwanzo mwisho hapa Dar. Then huyo Mukoko nasikia hata sisi Simba SC tulimuhitaji, lakini tukaenda kumchukua yule wa Power Dynamo ambaye ana uzoefu mkubwa kuliko Mukoko kwenye mehi za kimataifa.
Hongereni Utopolo.
Hahahaha kwa hao wazee msahau!Hapana Mtani.
Weka pembeni utopolo wako then fikiria kwa jicho la 3. simba tunahitaji experienced plyers hivi sasa. ndio manaa wachezaji wote tulio kamilisha kuwasajili takribani asilimia 90 wana uzoefu wa michuano ya kimataifa. Mashabiki wa simba tuna matumaini ya kuchukua kombe la klabu bingwa msimu huu, wewe ngoja uone.
Acha umbea wako, tulia ligi ianze hapo ndio tutajua kama wana uwezo au hawana.Umeangalia stats zao?
Wachezaji wawili kwa 430M. Ina maana ukiongeza mmoja unapata thamani ya Luis Miquisson
Haka kajamaa kambea na kaongo, tena katuambie Mwamedi kashakusanya shilingi ngapi kwenye mauzo ya jezi.Luis hajazidi hata mil200 ya Kitanzania.
Naona umeshupaza shingo tazama stats zao mara vile mara hivi. Tuseme hawawezi hata kupiga danadana.