Frolent Ibenge awasainisha Kisinda na Mukoko Yanga SC

Frolent Ibenge awasainisha Kisinda na Mukoko Yanga SC

Maana yake si Yanga wala Simba ina hela zake yenyewe. Bado matajiri wameshika hatamu. Nje ya pesa za matajiri, hakuna timu inaingiza pesa kukidhi mahitaji yake ya uendeshaji ikiwwmo mishahara.

Sasa kama zote Simba na Yanga zinategemea matajiri iweje huyo Tajiri wa Yanga hawalipi mishahara vizuri wachezaji hadi wanakimbia? Kwa maana hiyo Mo ni zaidi ya GSM
 
Sasa kama zote Simba na Yanga zinategemea matajiri iweje huyo Tajiri wa Yanga hawalipi mishahara vizuri wachezaji hadi wanakimbia? Kwa maana hiyo Mo ni zaidi ya GSM
Ilikuwa wakati ule. Sasa wataenda sambamba.
 
Sikudanganyi mabadiliko unayoona yanga ni kwa vile wanaiga kwa simba baada ya kuona aibu ,vitu vingi vya maendeleo yanga ni simba ndo wameanzisha ,wakikejeliwa na wao ndo wanaiga

Sio kweli mkuu.
Mbona kuna mengi tumewaiga?

1. Sisi tulikuwa na Simba day.....Utopolo wakaja na Wiki Ya Mwananchi. Tukawaiga na sisi tukawa na Wiki Ya Simba.

2. Utopolo walikuwa na ajenda ya kubadili Yanga kuwa ya uwekezaji. Unakumbuka enzi zile ambapo kulitokea na makundi mawili yanga asili na yanga original. Ugomvi ulizaliwa ma baadhi ya wanachama wao kutaka klabu iendeshwe kisasa, wengine wakajitenga na wakajiita yanga asili.
 
Aisee, Mwamedi amebadilisha logo na jina la timu, timu inaitwa Shikamoo SC

Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto wa Yanga siku ya 4G walilala na viatu. Wameamua kufukuza timu yote wamesajili upya sasa subiri Prison atakavyowachakaza hiyo tarehe 6/9.

By the way, wachezaji wapya wanajua kuwa ni mwendo wa kupanda basi msimu mzima wa ligi?
 
Sio kweli mkuu.
Mbona kuna mengi tumewaiga?

1. Sisi tulikuwa na Simba day.....Utopolo wakaja na Wiki Ya Mwananchi. Tukawaiga na sisi tukawa na Wiki Ya Simba.

2. Utopolo walikuwa na ajenda ya kubadili Yanga kuwa ya uwekezaji. Unakumbuka enzi zile ambapo kulitokea na makundi mawili yanga asili na yanga original. Ugomvi ulizaliwa ma baadhi ya wanachama wao kutaka klabu iendeshwe kisasa, wengine wakajitenga na wakajiita yanga asili.
Simba day tangu 2010 no shamrashamra za kujitolea kwa jamii kwa week moja
 
Ilikuwa wakati ule. Sasa wataenda sambamba.

Kwamba ilikuwa wakati ule upi? Si ni msimu uliopita tu BM na Tshimbi wamesajaliwa chini ya GSM? Acha tupeane muda Mkuu,baada ya miezi sita nitarejea hii comment yako na nitakukumbusha!
 
Kwamba ilikuwa wakati ule upi? Si ni msimu uliopita tu BM na Tshimbi wamesajaliwa chini ya GSM? Acha tupeane muda Mkuu,baada ya miezi sita nitarejea hii comment yako na nitakukumbusha!
GSM ilikuwa na bado haijashika hatamu vizuri. Subiri GSM washike usukani. Mo itakuwa cha mtoto.
Mabillion yatawekwa sio hadithi za Mo
 
GSM ilikuwa na bado haijashika hatamu vizuri. Subiri GSM washike usukani. Mo itakuwa cha mtoto.
Mabillion yatawekwa sio hadithi za Mo

Ha hah ha ha nimecheka kwa nguvu aisee,haya Mkuu nitakukumbusha baada ya miezi Sita! Lakini nima swali moja la mwisho,kwa hiyo sasa hivi GSM ndiyo wanaiendesha Yanga na si Kina Msolla tena? Na hao wachezaji wanasajiliwa na GSM so nitakuwa sahihi nikiwaita hao ni Yanga GSM?
 
Subiri mchakato ukamilike. Utakuwa bora kuliko wenu wenye Mo pekee kama kinara.
Thamani ya Yanga sio biliion 20. Wala sio biliion 100. Ni zaidi ya hapo
 
Subiri mchakato ukamilike. Utakuwa bora kuliko wenu wenye Mo pekee kama kinara.
Thamani ya Yanga sio biliion 20. Wala sio biliion 100. Ni zaidi ya hapo

Mkuu,nitarejea hapa baada ya miezi sita! Btw I nimependa sana ustaarabu wako ktk majibizano yetu! Ahadi yangu ni kukumbusha baada ya miezi Sita kutoka sasa!
 
Mkuu kwa mpira wetu wa kiafrika hata hakuna sababu ya kuenenda kisasa. Maana hata sisi tulikimbiwa na Senzo mtu ambaye alikuwa na wajibu wa kusimika mizizi wa uweledi klabuni, na ndio maana tukaona ni sawa kukimbiwa na mtu kama yeye hata kama itatugharimu kusajili wachezaji walioshindikana kwa nidhamu pahala pengine.
Senzo ni kawaida take hatulii sehemu moja we we jaribu soma historia yake utafurahi yaani ile ndio hama yake we we ngoja uone atakavyohama Yanga

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Hivi hawanaga sehemu nzuri ya kukaa wakati wanawasainisha?kila saini wanafanya kwenye makorido na nyumba za watu ndo maana mikataba inakuwa feki
Hahaha wanapita nyumba kwa nyumba...

Jamaa toka wampate zahera naona wanaamua kutujazia wacongo tu.

Soon wataanzisha na bendi hapa jangwani.
 
Back
Top Bottom