Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Maana yake si Yanga wala Simba ina hela zake yenyewe. Bado matajiri wameshika hatamu. Nje ya pesa za matajiri, hakuna timu inaingiza pesa kukidhi mahitaji yake ya uendeshaji ikiwwmo mishahara.
Sasa kama zote Simba na Yanga zinategemea matajiri iweje huyo Tajiri wa Yanga hawalipi mishahara vizuri wachezaji hadi wanakimbia? Kwa maana hiyo Mo ni zaidi ya GSM