From a Guest to a Member.

From a Guest to a Member.

Easy !! easy !! i got u stud... Hav a good tym.. Yaishe

Sent from my Android phone
Hahahaha sijapanick bro nilikua nakupagawisha tu.... Nimeipenda hiyo 'i got you stud' lol yap, stud is better than a tomboy....

Chillax hapa ni Peace and Love tu hakuna kununa.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Alright babe

Sent from my Android phone
 
Alright babe

Sent from my Android phone
Jana nilienda duka moja hivi huko mjini, baada ya kufanya manunuzi yangu mwenye duka akani excuse kua ana maswali mawili matatu juu yangu... daah nilikaa pale dakika 40 zote anauliza tu maswali mwisho nikamwambia sasa bro hakuna hata soda nipooze koo maana duuh nipo kikaangoni.... Akataka kuniagizia nikamwambia no nafata mwenyewe aiseee sikurudi nilisepa mazima.... so Josze maswali me nishayazoea walaa sijawahi kutokumjibu mtu.

kumbe nlzan nakukwaz, kwa maana mi niko ka hyo jamaa wa duka

Sent from my Android phone
 
I have created an interest, am going through the whole profile so that I come loaded.

So far the task looks so interesting and thrilling, am determined to win.
Really!!
i know where it came from.... lol
When your done don't hesitate to let me know.
 
wao kumbe ni kitomyboy nilkuwa nataman itokee tomy boys humu humu maana kuna watu walinibishia eti siwawezi sasa nataka nianze na huyu afu ntawaletea mrejesho wana jamvi humu humu.
 
Ningekua na nauli hata hawa akina James delicious ningewatoa koromeo nikapike supu[emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45]
 
Umedanganya tangu 2017 umo humu au ndio bado mgeni? Hahaahhahaaaa
 
Back
Top Bottom