Thread Starter
JF-Expert Member
- Mar 16, 2017
- 1,378
- 1,045
Easy !! easy !! i got u stud... Hav a good tym.. YaisheYes.... sipendi kuchimbwa chimbwa coz najua unakoelekea.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Hahahaha sijapanick bro nilikua nakupagawisha tu.... Nimeipenda hiyo 'i got you stud' lol yap, stud is better than a tomboy....Easy !! easy !! i got u stud... Hav a good tym.. Yaishe
Sent from my Android phone
Alright babeHahahaha sijapanick bro nilikua nakupagawisha tu.... Nimeipenda hiyo 'i got you stud' lol yap, stud is better than a tomboy....
Chillax hapa ni Peace and Love tu hakuna kununa.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Jana nilienda duka moja hivi huko mjini, baada ya kufanya manunuzi yangu mwenye duka akani excuse kua ana maswali mawili matatu juu yangu... daah nilikaa pale dakika 40 zote anauliza tu maswali mwisho nikamwambia sasa bro hakuna hata soda nipooze koo maana duuh nipo kikaangoni.... Akataka kuniagizia nikamwambia no nafata mwenyewe aiseee sikurudi nilisepa mazima.... so Josze maswali me nishayazoea walaa sijawahi kutokumjibu mtu.Alright babe
Sent from my Android phone
kumbe nlzan nakukwaz, kwa maana mi niko ka hyo jamaa wa dukaJana nilienda duka moja hivi huko mjini, baada ya kufanya manunuzi yangu mwenye duka akani excuse kua ana maswali mawili matatu juu yangu... daah nilikaa pale dakika 40 zote anauliza tu maswali mwisho nikamwambia sasa bro hakuna hata soda nipooze koo maana duuh nipo kikaangoni.... Akataka kuniagizia nikamwambia no nafata mwenyewe aiseee sikurudi nilisepa mazima.... so Josze maswali me nishayazoea walaa sijawahi kutokumjibu mtu.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Au ndio wewe??? hahahaha kiddingkumbe nlzan nakukwaz, kwa maana mi niko ka hyo jamaa wa duka
Sent from my Android phone
wala hata sio mmAu ndio wewe??? hahahaha kidding
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Hi, i need your cooperation guys, i'm a new member.
Lol, sio mimi ndio nikukaribishe wewe kweli.Karibu sana.
Lol, sio mimi ndio nikukaribishe wewe kweli.
Iam here with you sweety, your wellcome..!!Hi, i need your cooperation guys, i'm a new member.
Really!!I have created an interest, am going through the whole profile so that I come loaded.
So far the task looks so interesting and thrilling, am determined to win.
Seriously!!!Iam here with you sweety, your wellcome..!!
Really!!
i know where it came from.... lol
When your done don't hesitate to let me know.
Naona kizungumkuti hapo ushapewa JF snr expert member na bado mgeni? Umerukaje vyeo vyote from member to expert?Hi, i need your cooperation guys, i'm a new member.