Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
- Thread starter
-
- #61
Shabiki wangu mpya huyo,Ningekua na nauli hata hawa akina James delicious ningewatoa koromeo nikapike supu[emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duuuhShabiki wangu mpya huyo,
Karibu sana.
Naona kizungumkuti hapo ushapewa JF snr expert member na bado mgeni? Umerukaje vyeo vyote from member to expert?
kunywa kwanza chai huoni kama ni asubuhi sana hii.... lolUmedanganya tangu 2017 umo humu au ndio bado mgeni? Hahaahhahaaaa
Shabiki wangu mpya huyo,
Karibu sana.
Shabiki mpya umekuja na moto maana sio kwa kufukua makaburi huku....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duuuh
Nakujaaaa kaka mkubwa.Halafu nina maongezi kidogo na wewe.