Karibu kwetu kaka,hakikisha tunaonana kabla ya kurudi Rock city..
usihofu mkuu ila usije na wakati ndio sasa asije akanimwagia tindikali maana mh............
nadhani mnashangaa nimepotelea wapi kwa siku za hivi karibuni,
kweli tangu nije dar nimekuwa busy sana mpaka nakosa time ya kutinga JF, sio mbaya lakini kwani baada ya kazi uwa najitahidi kuwatafuta wadau wa chit chat atleast tupate kufahamiana na kusogeza sogeza time....
nawashukuru wote niliokutana nao kwani i really had great times with you....
afu cacico ijumaa sijui tu...
anyways nitarudi hewani full time kuanzia wiki ijayo sasa ivi bado nimetingwa kiaina
nawasalimia wote kutoka jiji la maraha
PS: i miss you charminglady
mama kijacho charminglady fanya ijumaa utue nikupeleke chimbo la mzee Mtambuzi tukale supu
my dia nakushauri cku ukienda kukutana na St. Paka Mweusi nenda ukiwa umevaa helmet. make unaweza kupata brein konkashen. anaweza akaja na wns ohooo!!!!!
mama kijacho charminglady fanya ijumaa utue nikupeleke chimbo la mzee Mtambuzi tukale supu
Sijui leo nitasalimika kwenye hii cocktail, kuna vidosho vimenizunguka hapa.... Duh, Ma-PA wa Ma-MD na Ma-CEO Nouma kweli kweli...LOL