waulize kama wanawajua wanao. Hivi ile picha yetu unayo kwenye wallet?
Afu dadii nimekukosa! Mgeni akiondoka nitakuja kukupiga mzinga, nimeloweka wallet.
Mi wiki ijayo nakuja, Mtambuzi ningependa uje kunipokea tafadhali! Lol
C6 narudi Dar next week (not sure when atm, but ni next week), usije ukawa umeondoka kabla sijaja, ugomvi hutaeleweka
Sijui leo nitasalimika kwenye hii cocktail, kuna vidosho vimenizunguka hapa.... Duh, Ma-PA wa Ma-MD na Ma-CEO Nouma kweli kweli...LOL
taratibu dada, ujue huyo ni mume wa mtu tena baba mtarajiwa. ukitaka onana nae lazima uombe ruksa kwangu. . .
Hapa kama Lulu kwenye kisosi hivi!
Japo sina hakika kiiviile!
Aidha mtu mzima dawa ujue?
Mtambuzi au unasubiri fidi'fosi wakukwezeshe kunako uzio wa jumba jeupe kama lile la magogoni ?
Kipipi sio nikupokee mimi kakako ?
Nimeongea naye kwa simu hivi punde... yuko Dodoma...............
Binti kwa kupuyanga huyu, sijui anatafuta nini huko makao makuu... Mungu amnusuru na wanaume wakware
mmmh.....kaka we nakufahamu wewe, unaweza ukaishia pale Rombo green view alafu ukanichomesha mahindi bure! Lol