Achana nao hawa watoto wanaodanganywa na movie za marvelMbona mnakuaga kama wajinga hivi, simuwe mnafatilia kwanza Taarifa..
Jikite kwenye maada za Taarbu mkuu, huku nu mlima kwako, Maada za Taarabu ba Mipasho zinaweza kukufaa sanaMiaka kama kumi hivi iliyopita, Russia ilikuwa member wa G8. viongozi wa Russia tulikuwa tukiwaona kwenye mikutano mikubwa ya maamuzi ya dunia...
Hakuna atakayejibu post hii mkuu.Akili za kitumwa hizi.
Adversaries wa Russia wanataka kumtenga na dunia ili uchumi wake na nguvu zake za kijeshi zipungue.
Akishakubali kupigishwa magoti hivyo wanaingiza raisi wa Russia ambaye ni kibaraka atakaye tii matakwa ya hao adversaries wa Russia.
Kisha Russia inakuwa tegemezi wa hao wabwana inakosa Uhuru wa kiuchumi na kijamii.
Russia anaona hawezi kuharibu nguvu yake na historia ya taifa kubwa lenye historia ya miaka zaidi ya 1000 kwa kukubali kuendeshwa na kutawaliwa na taifa lenye historia ya wastani miaka 400 (Marekani).
Russia anatafuta washirika wa kiuchumi na kijeshi toka mashariki na kusini.
Russia anasema kama ninyi mnamgeuza jirani yangu kuwa adui wangu na kumpatia silaha za maangamizi nami natafuta adui zenu nawaparia silaha za maangamizi.
Hao adui wa adversaries wa Russia ni nani?
Jibu ni Cuba, Vietnam, North Korea, Venwzuey, Iran na China.
Russia anasaini ushirikiano wa kupatiana silaha na teknolojia na hao adui wa adversaries wake.
Kupitia hayo makubaliano Russia anafanikiwa kupata teknolojia au vifaa vinavyo wezesha kuzalisha silaha nyingi na Kali sana toka china,.
Anapata teknolojia, nguvu kazi na kujengewa kiwanda ndani ya Russia cha kutengeneza drone nyingi mno za Shahid toka Iran.
Anapata makombora na shells nyingi mno zinazotumika Ukraine toka kwa North Korea. Naye anampatia sila kali ikiwemo za Nuclear nchi ya North Korea.
Russia anafanikiwa kuwavuta Saudi Arabia kwenye BRICS na kuwashawishi waanze kujitoa kwenye matumizi ya dollar kwenye biashara ya petroleum. (Petrol dollar treat).
Russia anaweza kuwapelekea Cuba sila hatari ambao ni adui jirani wa Marekani.
Russia anakuwa na GDP inayokuwa kwa kasi kuliko adversaries wake. Kinyume na matarajio ya hao mabwana kwamba nchinita anguka kiuchumi.
Russia anafanikiwa kutengeneza silaha kwa kasi kubwa kuliko wanachama wote wa NATO.
Russia anafanikiwa kuwa taifa linalo uza zaidi kuliko kununua nje.
Russia anafanikiwa kuvunja mpango wa adversaries wake wa kumtenganisha na China.
Sasa wanaunganisha nguvu kwenye uchumi, sayansi, teknolojia na mambo ya kijeshi.
Unaelewa hiyo strategic multilateral relationship ya Russia na nchi ulizo zidharau?
Jana Russia kasema atampatia North Korea teknolojia na makombora ya masafa marefu (cruise and ballistic missilies including hypersonic missiles) yakiwemo ya nuclear.
Russia amesema yeye hatampangia North Korea ayatumie dhidi ya nani na yafike umbali gani.
Makubaliano yote hayo ni katika muundo wa mutually respect yaani siyo Ile rule based world order ya Unipolar world bali muundo wa mutually respect as equal peers or partners of multipolar world.
NOTE: Makombora ya sasa tu ya North Korea yanafika Marekani ....Sasa hayo ya Russia itakuwaje?
Je silaha hizi hazitaishia mikononi mwa maghaidi na jihadist.
Go figure mkuu!!!
Muhimu zaidi RUSSIA haijawahi kushindwa Vita toka enzi na enzi. Wao ni mashine ya kushinda vita.
Akili zilizopinda tabu sana sa G7 au G8 ndio nini?Miaka kama kumi hivi iliyopita, Russia ilikuwa member wa G8. viongozi wa Russia tulikuwa tukiwaona kwenye mikutano mikubwa ya maamuzi ya dunia.
Ghafla Mambo yamebadilika, Raisi wa Russia anawapigia magoti viongozi wa North Korea, Iran, Venezuela nk. Putin hatumuoni tena ulaya, USA, Japan.
Raisi Putin ameishusha Sana hadhi ya Russia. Putin amepotea
Ameipoteza na Russia.
Russia hadhi yake ni USA, UK, China, Japan, Canada nk
Hili ni Anguko kubwa
Nchi kam Italy inafanya nini G8Akili zilizopinda tabu sana sa G7 au G8 ndio nini?
We huwaoni hao viongozi wakienda Saud Arabia wana bend afu una waita Giant 😄