ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Miaka kama kumi hivi iliyopita, Russia ilikuwa member wa G8. viongozi wa Russia tulikuwa tukiwaona kwenye mikutano mikubwa ya maamuzi ya dunia.
Ghafla Mambo yamebadilika, Raisi wa Russia anawapigia magoti viongozi wa North Korea, Iran, Venezuela nk. Putin hatumuoni tena ulaya, USA, Japan.
Raisi Putin ameishusha Sana hadhi ya Russia. Putin amepotea
Ameipoteza na Russia.
Russia hadhi yake ni USA, UK, China, Japan, Canada nk
Hili ni Anguko kubwa