From Hollywood to Bollywood, Nollywood na sasa Tollywood.

Wabongo kama wangelikua makini, wabunifu pamoja na kuwa sirus kwenye tasnia basi wangeweza kukamata soko la filamu la Afrika.

Tatizo kubwa linaanzia kwa watazamaji, mimi naamini ndio wana matatizo makubwa kuliko hata hao watengenezaji hizo filamu.
 
Natamani muvi za kibongo zingekuwa na ubora kama ule wa wa Kenya.
 
Wabongo kama wangelikua makini, wabunifu pamoja na kuwa sirus kwenye tasnia basi wangeweza kukamata soko la filamu la Afrika.

Tatizo kubwa linaanzia kwa watazamaji, mimi naamini ndio wana matatizo makubwa kuliko hata hao watengenezaji hizo filamu.
Watazamaji kivipi?
 
Mzee baba wewe ni mkongwe
 
Reactions: BAK
Nilikuwa naenda sana cine club sikujua kama ilikuwa ya filamu tanzania ila nachojua TBC baada ya kuanzishwa wengi walienda huko ila hawakupewa umuhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…