PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,437
Uzi bora kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja bado ZOLLYWOOD
[emoji3][emoji3][emoji3]zambiaZOllywood ndio wapi mkuu?
Watazamaji kivipi?Wabongo kama wangelikua makini, wabunifu pamoja na kuwa sirus kwenye tasnia basi wangeweza kukamata soko la filamu la Afrika.
Tatizo kubwa linaanzia kwa watazamaji, mimi naamini ndio wana matatizo makubwa kuliko hata hao watengenezaji hizo filamu.
Mzee baba wewe ni mkongweUlichosema hapo juu ni kweli kabisa pia kwa kuongezea ni lack of exposure also. Labda wengi wa watengenezaji wa sinema wa Kitanzania baada ya kuona sinema za Kinigeria na jinsi zinavyopendwa na Watanzania wengui basi na wao wakaona ili kupata soko inabidi wafuate nyoyo za Wanigeria.
Viwango ni tatizo letu lingine kubwa Watanzania. Tunatengeza vitu kwa haraka haraka ili kupata senti mbili tatu na hapo tunaridhika. Ndiyo maana humsifu sana mengi kwa kuweza kumaintain viwango vya kimataifa katika bidhaa mbali mbali toka katika makampuni yake.
Hawa watengenezaji sinema zetu nchini hawana malengo ya muda mrefu wala vision ya kuongeza ukubwa lwa soko lao, wameridhika na soko la ndani ambalo nalo wana ushindani wa hali ya juu hasa kutoka katika sinema za Kinigeria. Wangekuwa na mtazamo wa mbali basi wangehakikisha wanayaingia masoko ya nchi za jirani zetu na kuweza kushinda huko kama wangekuwa na mikakati ya kuinua viwango vya sinema zao katika viwango vinavyokubalika, labda hapa napo lack of capital inachangia kwa kiasi kikubwa kwa wao kushindwa kuwa na mtazamo wa mbali na kuhakikisha wanapanua soko lao hadi nchi za jirani.
Pia labda kubadilishwa kwa majengo yetu ya sinema enzi hizo Avalon, Express, Drive in, Empress, New Chox, Empire na ama kuwa ya biashara nyingine au pale Drive in kujengwa Ubalozi wa Marekani kumechangia kwa kiasi kupunguza exposure ambayo wangeipata katika sinema za kutoka nje.
Nakumbuka enzi zile mnaingia sinema kigroup kama cha watu 20 hivi au hata zaidi ilikuwa ni raha iliyoje na ni outing ambayo miaka ile ilikuwa maarufu sana. Nakumbuka pale Empire ambapo mara nyingi ndiyo walikuwa wanaonyesha sinema za Bruce Lee, enter the dragon, fist of fury n.k. walikuwa wanauza ticket kwa walanguzi kwa saa moja tu baada ya hapo wanadai zimekwisha basi kama umechelewa ni lazima ulanguliwe ticket ta shilingi 10 ulikuwa unaweza kurushwa hadi shilingi 100 ha ha ha starehe za bongo lakini pamoja na kulanguliwa jumba lilikuwa linafurika katika kila show. Sinema za Bruce lee watu walikuwa hawaendi na walimbwende maana inaweza ikabidi uingie vitani ili kuhakikisha unapata ticket ya shilingi 10 badala ya kulangulia na ukishaipata shati lililopigwa pasi liko nyeng'enyeng'e na kibanda au afro utadhani umekisusa miaka chungu nzima maana kimeshatimuliwa hovyo hovyo LOL!
Kuna raha yake ya kuangalia sinema nyumbani kwenye HD screen lakini haishindi raha ya enzi zile kuingia katika majumba mbali mbali ya sinema. Halafu pale empire kulikuwa na mishkaki ambayo ilikuwa mitamu sana mji mzima kulikuwa hakuna mishkaki mizuri kama pale empire na bi poa kabisa shilingi mbili tu basi njemba zilikuwa zinaagiza mishkaki mpaka au zaidi ha ha ha ha halafu miaka ile wala huogopi kula barabarani maana kulikuwa hakuna kipindupindu 50.
Watazamaji kivipi?
Mzee baba wewe ni mkongwe
From Zenjiwood with loveZOllywood ndio wapi mkuu?
From Zenjiwood with love
Nilikuwa naenda sana cine club sikujua kama ilikuwa ya filamu tanzania ila nachojua TBC baada ya kuanzishwa wengi walienda huko ila hawakupewa umuhimuKibs ( hope u dont mind me calling u this shortform)
Asante kwa kuleta maswali ya msingi kabisa.Nimetaja baadhi ya majumba ya sinema kwa vile ndiyo niliyowahi kufika ndugu yangu na siyo kwamba nimependelea LOL.
TFC sijui hata iliishia wapi.Najua Mkurugenzi wake Martin Mhando yuko Australia kwa sasa na anafanya maajabu kwenye movie production na hata kuna kipindi aliwahi kuja Tz kutengeneza sinema na wachezaji wa Hollywood ( including Barbra O.) mwanzoni au katikati ya miaka ya 90 kama sikosei.Cine Club ni moja ya miundombinu ya TFC na sasa imegeuka sehemu ya starehe - kunywa na kula na sijui hata wanaoenda pale wanajua historia yake.
Anyway ni vizuri kuangalia tumetoka wapi na tunaenda wapi,wapi tulikosea na tunaweza vipi kurekebisha.Ngoja tusikie na wengine watasema nini.
Ha ha haSigned for disbursement