From JF to Me!

Wewe chekelea tu busha limekuwa kubwa mpaka linapakizwa kwenye toroli...... APOLLO HOSPITAL-INDIA inakuhusu mkuu!
Chini ya uangalizi wa Lady doctor, busha ni kipele tu. Atakitumbua kwa kucha. Thieta inawahusu nyie wenye majipu......
 
Last edited by a moderator:

utajibeba we mzee
aache vijana wanaojua kujipulizia unyunyu
awe na wewe babu busu lako ugoro mtupu?, Lady doctor hebu kuja
uniambie kama umemzimia babu!!
 
Last edited by a moderator:
Afu wewe.... Una kesi ya kijibu!

Mhhhhh babu mbona wantisha mjukuu wa mwenzioo.....kesi gani teena???? I tasikilizwa mahakama gani???? Na aliyeifungua hiyo kesi dhidi yangu ni nani??? Na je madai yake yanahusu nini??? Details please nianze kutafuta wakili mapemaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…