From JF to Me!

From JF to Me!

Happy Birthday my darling husband... I loved you wakati ule wa kunitokea,I love you now as my hubby and I will always love you as a father to our unborn baby..Nothing will change this, I promise na Dark City our Babu knows....
Hays bwana, wamebarikiwa waliopata hazina njema. Naamini hata Mungu amekusikia...lol!
 
japo umenisahau lakin Happy birthday Filipo
 
Last edited by a moderator:
naomba umwambie mumeo akome kuniletea habari zake za kutaka kunikagua..... Mwambie kabisaaa SITAKI KUKAGULIWA!!!!

Mmmmhhhh ..........nini maana ya neno 'kukaguliwa' .......mwenzio bado nna matongotongo humu cc.
 
Back
Top Bottom