Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana jf et huu mfumo wa nacte utaanza mwaka gan kutumika kwenye vyuo vya ualimu?
mwaka huu july japo c vyuo vyote. wataanza na vitano then nxt yr wanamalizia na vyote. hivyo 5 cjafahamu ni zp bado
Kwani hiyo NACTE itakuwa na faida gani kwa wanachuo na kwa upande Wa wakufunzi?
kwa jins ninavyofaham nacte itaanz kwa acdmc year 2014/15 kwa ngazi ya diploma. Na itawahusu 1st year 2.
kila m2 anawez kuwa na jibu tofauti kwa atakavyoiona, ila kwa upande wa wakufunz watajifanya kama wafalme kila ki2 watataka kiende kama wanavyotaka, ila wanachuo watakuwa wanapata adha xan...na mwanachuo atapata matokeo mazur pale 2 hana choko na mkufnz.