From one Gianluigi to another

From one Gianluigi to another

Mnyuke junior

Member
Joined
Jun 1, 2021
Posts
19
Reaction score
15
Gianluigi donnarumma anakuwa golikipa wa kwanza other than Gianluigi buffon kupata cleansheet kwa italy katika mashindano makubwa ya ulaya na dunia tangu fransisco toldo alivyofanya hivyo katika euro 2000
IMG_20210612_085512_445.jpg
 
Jamaa yuko vizr ila huko PSG sio chaguo la kwanza. Kitu ambacho kinaniuma. Namkubali sana dogo.
 
Back
Top Bottom