Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uyo jlo ndo sinta au
Mtoto wa mwanasiasa mkongwe wa nchini John Malechela, William ameamua kuonesha upande wake wa pili kama muigizaji wa filamu.
William Malechela ambaye pia ni mwanasiasa, ameshiriki kuigiza kwenye filamu mpya ya Sintah, iitwayo The Return of JLO.
Kwa mujibu wa Sintah, Willam ameonesha uwezo mkubwa kwenye uigizaji wa filamu.
Mwezi April mwaka huu, William aligombea ubunge wa Afrika Mashariki lakini hakufanikiwa kuupata.
Jana kwenye uchaguzi wa Ubunge wa EAC nimeshindwa fairly na sina malalamiko, ninawapa hongera washindi wote walioshinda leo na hasa my best friends Shyrose, Dulla, na Makongoro, Mungu awaongezee na wakatumikie vyema taifa letu!
As for me sasa ni wakati wa kukaa chini na kutafakari nilipokosea na kuanza kujipanga upya, aliandika Willam kwenye mtandao wa Jamii Forums.
****
Mkuu Le Mutuz hii nimeiona katika Blog moja ya udaku! Mkuu sasa wewe una play character gani katika filamu hii?? Je ndio tukusahau katika Siasa au??
Hongera Mkuu!!
Hivi ni mtoto gani mwingine wa vigogo ambaye anafanya Bongo Movie, au huyu ni wa kwanza?
Hasaaa!
Narubongo mie nimejaa ka kimelea mbona?
William anatafuta spotlight na ataichukua popote anapoipata.
Hii inaweza kabisa kuwa ni matatizo ya kisaikolojia, kuna watu hawajisikii vizuri mpaka wawe kwenye spotlight.
Akienda huko kwenye sinema mie hata siwezi kumsema, maana huko hapigiwi kura na mtu wala hachukui dhamana ya uongozi wa watu. Na aende tu.
Na wapenzi wa hizi movie watam judge.
Angalau kaona kitu kilicho level yake. Uwakilishi wa watu wataka zaidi ya jina kubwa tu.
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! ha!
willy male tukitoka kwenye movie tunahamia kwenye taarab.
i thought a politician if well known is a celebrity too...i was wrongNadhani kwenye siasa ndo anajaribu, he is more of a celebrity than a politician!