FROM POLITICS TO BONGO MOVIE; Le Mutuz with Multiple talents

...ONE UPON A TIME, Yvonnie, the bint on the left, had a very, very beautiful DARK SKIN....Are there no more Beautifully Dark Skinned Bintiz in Bongoland???????????????
 
Hahaaaa huyu bila kuwa mkubwa humu jf ningechangia lakini mhhhh
 
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! ha!
willy male tukitoka kwenye movie tunahamia kwenye taarab.
 
This guy....
I adviced him to join Wrestlers kumchukua nafasi
ya Umaga au the Big Show.... there he fits to play
Sasa hapa yupo na mademu USED wote anawaround
ataukwaaaaa, he has sheep/ chicken head of course so hana cha maana

 
Narubongo mie nimejaa ka kimelea mbona?

William anatafuta spotlight na ataichukua popote anapoipata.

Hii inaweza kabisa kuwa ni matatizo ya kisaikolojia, kuna watu hawajisikii vizuri mpaka wawe kwenye spotlight.

Akienda huko kwenye sinema mie hata siwezi kumsema, maana huko hapigiwi kura na mtu wala hachukui dhamana ya uongozi wa watu. Na aende tu.

Na wapenzi wa hizi movie watam judge.

Angalau kaona kitu kilicho level yake. Uwakilishi wa watu wataka zaidi ya jina kubwa tu.
 



Kuna wanaotafuta kujulikana kwa utendaji wao, na hawahitaji kutumia nguvu nyingi kujitangaza kwa kuwa matendo yao ni kama taa inayomulika pande zote kuwafikia warefu na wafupi kwa vile mwanga hupenya kila mahali pasipo na kizuizi. Hii haina gharama kubwa kwa kuwa utendaji unaotumika ni uwajibikaji wa kawaida wa kila siku.

Kuna wanaotafuta cheap popularity kama kujimwaga kwenye matukio fulanifulani, lakini haya ya kujikita katika makundi fulani yanaweza kumpa jina lenye kutoa pande mbili za sarafu, kwani si wote waoona mwenge upande wa sarafu kwa vile kuna wanaitazama upande wa kichwa cha Nyerere, Mwinyi nk. Hii inaweza kukugharimu kwani huna hakika na gharama inayotumika kama italipa au ni pata potea.
 
angekuwa kijana wa <30 yrs tungesema ujana unamsumbua, aelekezwe maisha yanavyokwenda.. lakini hatuwezi kujua huwenda labda kuna vigogo wapo njiani kujiunga na bongo movies!
 
Uko kwenye Bongo Movie ndio sehemu yake sahihi, siasa zina wenyewe, akae vizuri na kina Mtitu na JB wampigie mapande huko kutamfaa sana.
 
duh, ila hapa patamsaidia kujulikana kabla ya 2015.
 
LOL.

Le mutuz, Baharia, long time internet friend toka BCS mpaka economic forums mpaka bongo movies from JF.

All the best. Ndo ninachoweza kusema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…