FROM: Series kali sana ya kutisha

Ngoja niiweke kwenye list
 
Mkuu nadhan umechanganya kidgo,hii unayoongelea hapa ni yellowjackets
 
Duh
Kumbe kuna season 2?
Hii ni bonge la series na soundtrack yake imemifanya niutafute wimbo. Bonge la meaning
 
Ebwana eeeh itakuwa kali hiyoo[emoji119][emoji119][emoji119]
 
napenda za kutisha zaidi kama zile za kina santamigo pandamunion
 
Series za namna hii huwa zinanikosha sana. Ngoja niitafute nikoshe macho.
 

Kwenye sound track umenibamba[emoji23] kile ka wimbo anaelezea kipind alipokuwa mdogo anamuliza mzee kuhusu…… sasa ameshakuwa mtu mzima na watoto sasa watoto wanamuliza yeye kuhusu…….[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…