Season 2 ishatoka mkuu. Sean wallace hakufa. Aliokolewa akafungwa jela sasa karudi kitaa anataka kurudisha utawala wa familia ya Wallace kwenye dili chafu. Katukatana na mwamba ambae currently ndio mafia mkuu mtaani baadaye wakaungana ila ushirikiano wa kuviziana atakaeingia anga za mwenzake anapigwa na kitu kizito katika oparesheni zao wakamuua baba ake elliot. Kama unavyojua elliot hana shughuli ndogo msala ukawa mkubwa.