Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
Serra serraDuh
Kumbe kuna season 2?
Hii ni bonge la series na soundtrack yake imemifanya niutafute wimbo. Bonge la meaning
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serra serraDuh
Kumbe kuna season 2?
Hii ni bonge la series na soundtrack yake imemifanya niutafute wimbo. Bonge la meaning
Mbona kitambo sana mkuu hadi tumesahauGangs of london kuna mbongo mwenzetu humo anakichafua,hivi season 2 ishatoka?
Season 2 ishatoka mkuu. Sean wallace hakufa. Aliokolewa akafungwa jela sasa karudi kitaa anataka kurudisha utawala wa familia ya Wallace kwenye dili chafu. Katukatana na mwamba ambae currently ndio mafia mkuu mtaani baadaye wakaungana ila ushirikiano wa kuviziana atakaeingia anga za mwenzake anapigwa na kitu kizito katika oparesheni zao wakamuua baba ake elliot. Kama unavyojua elliot hana shughuli ndogo msala ukawa mkubwa.Gangs of london kuna mbongo mwenzetu humo anakichafua,hivi season 2 ishatoka?