Moshe Dayan
JF-Expert Member
- Feb 10, 2008
- 815
- 702
Wanasema[Pleiadians] Serikali yoyote ikiwakaribisha,watafika. Isipokuwa sijui Serikali hiyo itawapata wapi. Actually Haton ansema kwamba ameshakuatana na kila Rais wa nchi za dunia hii,na pia kwamba wanahudhuria summit meeting zote,kama hologram. Walihudhuria once in person,Reagan akawakamata. Sasa wanakuja kwa njia ya hologram,kivuli tu ambacho hakishikiki.
Sio Reagan tu hadi General Eisenhower alikutana nao mara tatu New Mexico.Fbi ndo waliandaa meeting through telepathic means ! A former senior pentagon analyst alisahawah ongelea hili jambo
mkuu moshe jeshi letu la anga lishawah kuspot UFOs
lilikuwa swali kamanda ! Nilisahau kuweka questn mark ! Have thea bin any reports of UFOs among our air force ? During world war 2 allied pilots walireport hvi vitu mbka winston churchill alianznsha kamati. Kwa USA kuna majestic 12 !kuhusu communiction kuna engineer mmja alikuwa anafanya kazi Area 51 ! He said that hawa jamaa wapo huko area 51 na wanafny nao kazi pamoja kujenga new air technlogcl capabilities. Ni kwamba wana read ur mind !ADC walispot kwenye radar au pilot ali-report? would like to learn more on this issue, hasa kuhusu kwamba top secret meetings ziliwah kufanyika kati ya aliens na beings, how did they communicate?
ahaa, ok, ila am not aware kama hii kitu isharipotiwa hapa kwetu, hebu angalia hiyo clip ya autopsy ya huyo alien kule area 51lilikuwa swali kamanda ! Nilisahau kuweka questn mark ! Have thea bin any reports of UFOs among our air force ? During world war 2 allied pilots walireport hvi vitu mbka winston churchill alianznsha kamati. Kwa USA kuna majestic 12 !kuhusu communiction kuna engineer mmja alikuwa anafanya kazi Area 51 ! He said that hawa jamaa wapo huko area 51 na wanafny nao kazi pamoja kujenga new air technlogcl capabilities. Ni kwamba wana read ur mind !
Nilisoma kitabu na kuangalia documentaries ambazo zimeelezea kuwa hawa grays wamehifadhiwa kule Area 51.
ahaa, ok, ila am not aware kama hii kitu isharipotiwa hapa kwetu, hebu angalia hiyo clip ya autopsy ya huyo alien kule area 51
Sikuona skull ktk hii autopsy -- ina maana hawa aliens hawana skull. Wengine wanasema hii/hizi video ni fake kwa hoja kuwa wkt huo hakukuwa na simu zenye helical wire km inavyoonekana ktk video hii/hizi.
hahaaaa..., kwanza elimu ya astronomy tunayo? siyo astronomy ya sheikh yahya
Mkuu Astronomy ilianzia na watu kama wakina Sheikh Yahaya, lakini scientist walikuja kuiadvance tu,(hebu google tribe moja iko Mali inaitwa Dogon?- au google Dogon and Sirius)
haya mambo mara nyingi yanaingia na kuwagusa sana Mitume na Malaika, watu wengi wanaoamini mambo ya Alliens or ET, wanaamini kuwa mitume almost wote na Malaika walikuwa ni Alliens, walikuwa ni wageni waliokuja hapa duniani kwa misheni maalumu, na walipokuwa wanakuja waliwafundisha watu waliowakuta hapa duniani teknolojia mbalimbali ikiwepo hilo la Astronomy
Kwa imani za kidini Mungu anajulikana kuwa yupo kokote, lakini kwa nini waumini wanajisahau na kuwa na itikadi kuwa Mungu anapatikana juu (sijuhi wapi?-uwinguni?), lakini ukifatilia kwa ukaribu utaona wale Alliens waliokuwa wanashuka duniani walikuwa wanashuka kutokea juu na walikuwa wanapanda kwenda juu na vyombo vyao na walionekana ni kama Miungu/Mitume/Malaika nk
Mifano halisi ipo Kwenye Biblia na Koran kuhusu hawa watu, Eliya alipokuwa anaondoka baada ya kumaliza kazi yake duniani, aliondoka na Chombo maalumu kwenda huko mbinguni?, kimeandikwa ni kama chombo cha kawaida kilichokuwa kinatumika wakati huo, lakini mechanism ya movement ya hiki chombo (Cha Eliya) kilikuwa ni tofauti sana na kile kilichozoeleka. Je hicho Chombo kilikuwa ni UFO?

aaah haya mambo yananikumbusha series moja ya history channel inaitwa ANCIENT ALIENS.......hawa jamaa wapo tangu kitambo sana.i wonder if tz tuna special committee kudeal na hawa superior cousins wetu