Mkuu Astronomy ilianzia na watu kama wakina Sheikh Yahaya, lakini scientist walikuja kuiadvance tu,(hebu google tribe moja iko Mali inaitwa Dogon?- au google Dogon and Sirius)
haya mambo mara nyingi yanaingia na kuwagusa sana Mitume na Malaika, watu wengi wanaoamini mambo ya Alliens or ET, wanaamini kuwa mitume almost wote na Malaika walikuwa ni Alliens, walikuwa ni wageni waliokuja hapa duniani kwa misheni maalumu, na walipokuwa wanakuja waliwafundisha watu waliowakuta hapa duniani teknolojia mbalimbali ikiwepo hilo la Astronomy
Kwa imani za kidini Mungu anajulikana kuwa yupo kokote, lakini kwa nini waumini wanajisahau na kuwa na itikadi kuwa Mungu anapatikana juu (sijuhi wapi?-uwinguni?), lakini ukifatilia kwa ukaribu utaona wale Alliens waliokuwa wanashuka duniani walikuwa wanashuka kutokea juu na walikuwa wanapanda kwenda juu na vyombo vyao na walionekana ni kama Miungu/Mitume/Malaika nk
Mifano halisi ipo Kwenye Biblia na Koran kuhusu hawa watu, Eliya alipokuwa anaondoka baada ya kumaliza kazi yake duniani, aliondoka na Chombo maalumu kwenda huko mbinguni?, kimeandikwa ni kama chombo cha kawaida kilichokuwa kinatumika wakati huo, lakini mechanism ya movement ya hiki chombo (Cha Eliya) kilikuwa ni tofauti sana na kile kilichozoeleka. Je hicho Chombo kilikuwa ni UFO?