Hiyo inaitwa LA KUVUNDA HALINA UBANI. Kama Mungu ameamua kuwa Kizimkazi aiondoe ccm kwenye ulimwengu was siasa basi hakuna kiumbe mwingine wa kulizuia hiloKwa hali tuliyonayo na international outlook on us, wenye akili timamu tulitegemea kupata hakikisho kuwa maridhiano yako njiani.
Kwa kauli ya kuwaita wapinzania na wanaharakati magaidi, tujiandae kwa mauti makubwa mbele yetu! Yaliyotokea 29.10.2025 ni cha mtoto kwa tone kama hii ya kuwaita wanaharakati magaidi kutoka kwa the would be Chief comforter.
Mungu tusaidie.
Yana mwisho
Naiona mara 10 ya Rwanda ya 1994 ipo njiani tena kwa kasi kubwa!Kwa hali tuliyonayo na international outlook on us, wenye akili timamu tulitegemea kupata hakikisho kuwa maridhiano yako njiani.