From the desk of the Chairman Baba v.

Acha umbea wewe mwanamke!
Kwanza bado nina hasira na wewe umenibebea mume wangu hv hv.

Mi si nawahisha habari kwa wahusika tu(mmbea),Rutta wangu nipo nae benet, ila naona ushaziba pengo kwa kumpata mwanasiasa!hongera
 
Mi si nawahisha habari kwa wahusika tu(mmbea),Rutta wangu nipo nae benet, ila naona ushaziba pengo kwa kumpata mwanasiasa!hongera

Asante,
Ndo hivo tena, Nimetulia tuli mtoto wa kike, sina wasi.
Nipo na wa ubani wangu, Twangojea Uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…