Heee.!!! mtoto mwenyewe mzee ka Desmond Tutu...!!!
Mwajuana kwa vipedo nyie... Ikifika kwenye kupelekana polisi mniite kuja kutoa ushahidi
hahahahhaha........
CC: Waume zangu Woooooooote.
Nani akuite?, Kwanza mtu mwenyewe unan'taka, Na nisharipoti Polisi Jamii.
Chimbuvu niko nae......Chimbuvu ndo kaliwa mazima..., kweli nimeamini asiyeskia la mkuu husikia la mdogo
Utasubiri sana Embe dodo chini ya Mwarobaini.
mwambie Ben Saanane asitelekeze mimba aliyompa J S
Mmmnh..... !!!! katoto katatoka kamenyoosha vidole viwili juu
Angesema mwingine, lakini wewe..!!, ambaye deile tunashuhudia watu wakiokota machungwa chini ya minazi....
Heheehee he kye kye kye kye..... kwa kwa kwaaa...!!! mkamate Ben Saanane huyohuyo..
Angesema mwingine, lakini wewe..!!, ambaye deile tunashuhudia watu wakiokota machungwa chini ya minazi....
Nshajilambia asali yangu shida ya nini kukukaa chini ya mwa40 kama mganga wa kienyeji..........!:A S-heart-2:
Mmmnh..... !!!! katoto katatoka kamenyoosha vidole viwili juu
ila mama yake ameshavaa gamba
Naanza kukuhisi wewe ndo yule J. S na kati ya kumwagwa BAVICHA
Yuko kotekote, hebu msome hapo juu..., yaani ni J S tipiko
Nidadavue wewe ndio udadaVUEHapo kwenye Bold, hebu dadavua.
Tatizo sio Ben Saanane wala Ben saatisa....tatizo mkeo kaharibiwa na Evelyn Salt