Evelyn Salt Amenipigia simu fasta ameniambia kuna taarifa muhimu ya kinipa leo jioni...nimemkubalia.Niamini Switie wangu Madame B.Nina Msimamo
Hee...!!! kweli nimeamini ujio wako si wa verse moja..!, avumaye baharini papa kumbe na makardinali mpo eee....!!!
Nimekuelewa Switie wangu,
Ila kuna mahali ulimuita Mume wangu,bado tukiwa chumbani tutaeleweshana vizuri Chimbuvu atatuharibia penzi letu.Ni kweli Baba V alinieleza kuhusu tabia za Chimbuvu na Nicas Mtei kunyanyasa wanawake.Hao sio wa ume bora.Wabaki kusuta,sie tujinafasi
Kila nikikumbuka....
View attachment 84583
Natamani kutoroka kazini,ila navumilia kwa kuwa ndiyo tunajenga maisha yetu ya baadae Laazizi wangu
Jifariji hivyohivyo, mkiletewa katoto kanapiga pipoz pawa ndo akili itawakaa sawasawa
Shaka ondoa shem, kama unaona utaumizwa chapa lapa mapema wanawake tupo wengi wenye mapenzi ya kweli....
kuumiza mwanaume kwetu mwiko!!!!!!!!!!
....sahivi ndo nimekuwa mbaya mbona ulikuwa unanituma kwa Ben!!!!!
umefanikiwa unaniona mbaya, kweli bora kumfadili mbuzi.
Khaah,Swits njoo uniambie ukweli Chimbuvu uko nae kivipi?Halafu Yupo kwenye kile chama?Au umetumwa?
Mweh weekend yote tulivyokula maraha kumbe uko na mdau wa kile chama huku mimi nikiwa nashangilia hapa bila kujua?Come'on Hun!
Halafu weekend tulikua
View attachment 84581
Evelyn Salt Amenipigia simu fasta ameniambia kuna taarifa muhimu ya kinipa leo jioni...nimemkubalia.Niamini Switie wangu Madame B.Nina Msimamo[/QUOTE]
.....karibu kwa Evelyn Chumvi shemeji!!!!!!!!!
Achana na mume wangu nakwambia.
Evelyn Salt...umenivutia ulivyo na moyo wa upendo.You are so caring!Ni wanawake wachache sana duniani wenye roho nzuri hivi.Natamani jioni ifike haraka tukutane wakati wa dinner.
Evelyn Salt Amenipigia simu fasta ameniambia kuna taarifa muhimu ya kinipa leo jioni...nimemkubalia.Niamini Switie wangu Madame B.Nina Msimamo