From the desk of the Chairman Baba v.

Nimekukosea nini mimi uwiiiiiiiii
yalaaaaa weeeeeeeeeee ntakuwa mgeni wa nani mimi? Uwiiiiiiii
ntamuangalia nanii usoni mimi mayoweeeeeeeeeeee

He!
Wawapi wewe?
Unanililia mie au kuna unachokililia katika mwili wangu?
Nipishe huko.
Usije ukaniharibia lunch yangu.
 

Baba V punguza maneno makali kwa shemeji yangu, roho inaniuma japo sijui kwanini!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwanza hata hyo dinner yenyewe usiende kukutana nae.
Atakulisha sumu bure.
Mamluki huyo.
Madame B

Switie nimekuelewa.Dinner sitaenda tena.Asante kwa angalizo.sikukosea kuwa na wewe.Kweli nimeamini unanipenda.
Sasa Hun wangu kuliko niende Dinner nikitoka kazini ni bora nikutanae na marafiki zangu wanasiasa jioni.si unajua weekend yote tulikua wote na hata simu zao sikupokea?Wacha nikutane nao badala ya kukutana na Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:

Hayo ndo maneno Mpenzi wangu.
Yaani nakupenda wewe,acha tu.
Sijui ulikuwa wapi siku zote hzo.
Yani ni bora ukutane nao ili mjiandae kuichukua Nchi yetu.
Mje kuwakomesha akina Baba V na akina Chimbuvu kwa kuiba wake za watu.
Afu mpenzi nilikwambiaga kama Erickb52 na Baba V walinitongozaga?
Basi wananitaka,wananisumbua hao.
 
Last edited by a moderator:

Ahasante shem, nimepata m-pesa thank you very much!!!
lazma nije naomba na namba ya tax driver.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…