Tonane tongee mengi zaidi ya hayo....
Ngoja niwe mpole.
Nalia mimi Evelyn Salt nimependa pasipopendeka jmn nitakuwa mgeni wa nani mimi jmn,uwiiiiiii
Mzima mkuu. Mambo yanaendaje aiseKijana mzima?
Niko pouwaaaa
Kumbukumbu kwenye mafaili yangu hazionyeshi kama ulimtambulisha kwangu kama binamu yako..
kwa hiyo nikatafute chuo wanachosomea hiyo nikajiunge?
short course inatosha au mpaka nisome degree?
asante binamu, nami nafurahia u mzimabinam usikubali huoni Baba V alivyotoa jicho na ulimi aahh
nafurahi kukuona u mzima
Ha ha ha Madame B.Afadhali umeniambia ulipo nije kukuchukua maana nilikua ninaimba kimoyo moyo
Machozi ya huba
yamenidondoka
sili nikashiba
nikafurahika
wangu mahabuba
ameshanitoka.
Ameshanitoka
mpanzi jamani
msitu na nyika
chozi kufuani
ninahangaika
wala simuoni.
Wala simuoni
sijui aliko
anipa mashaka
na masikitiko.
Sauti naghani
ajue niliko.
Baba V nakupa masaa 20 uwe umejiuzuru kwa kuwa,
watoto wako Chilli , tedo wamefeli form four wamepata div 0.kama umeshindwa kuongoza familia yako je utaweza ongoza jamii?
2, ntafungua mashataka rasmi kumtaka Ben saa nane kulipa fidia ya bilioni moja iwekwe kwenye akaunti yangu ya uswisi kwa tuhuma za kuchukua mke wangu Madame B
3. Madame B muke yangu ya ukweli, Mamndenyi , Evelyn Salt tukutane PM kuandaa toleo la march la JF forbes
4.pole kwa Chilli na tedo kufeli fomu foo
babe...kiss me hapaaaaa, nasikia panauma ujue
asante binamu, nami nafurahia u mzima