Heheheee!!
Mzungu Hunbig at work!!
Ina maana ?!
hahahahaa great thinker at work Mpenda Yesu hujui evelyne salt nani yangu eee? Sasa mie kusikia anavyo itwa na Chimbuvu afu mie nikaitika kike ili nimnase mwizi wangu ndoa nimekuwa mzungu mdali.
kaka usicheke kumnasa mwizi inahitaji juhudiHehehe eee....!!!
hahahaha Vin Diesel mie nahamu ya kuona tuzo yako aiseeUsisahau kumpa tuzo Erickb52 ya kuoa na kuacha mara kwa mara....
katika dua mbaya hii kwangu ni mbaya zaidi ok Chimbuvu ombeni nanyi mtapewa nanyi mtang'ang'aniana mpaka siku nikitoka sevani ndo niwanusuruMaombi yangu Evelyn Salt abaki mjane mme wake arest in server
Afu we Jiwe mbona unakomaa sana...!??
Kama ananyolewa nini....!!!??
We dogo huyo mkeo anatumiama meseji na Ben Saanane we umekaa kimya tu, itakula kwako, labda huzijui sera za ki pipoz pawa, atakuwa hachomoki pale, muulize mkongoman chimbuvu analia kama mtoto, mcheki hapa