From the desk of the Chairman Baba v.

We dogo huyo mkeo anatumiama meseji na Ben Saanane we umekaa kimya tu, itakula kwako, labda huzijui sera za ki pipoz pawa, atakuwa hachomoki pale, muulize mkongoman chimbuvu analia kama mtoto, mcheki hapa

Kausha mwanaume.....sio kila kitu kinafaa kusema, utaniharibia dili zangu zote nikose pote!!!!!!!!
 
nashukuru kwa kutuonesha wasaidizi wako ambao tutawaambia matatizo ya ndoa zetu humu mjengoni cc, ila umekosea kumuweka watu8 kuwa msaidizi wako kwani mtoto mdogo na isie ni watu wazima itakuwaje tukimpelekea mattatizo ya kindoa mtoto mdogo atatua vipi huyo? bora angekuwa Bujibuji ingekuwa vyema au kaka yangu Erickb52 hapo sawa, sasa ndugu nilikutumia cheti cha ndoa yetu je ulikipata au Chimbuvu amekiacha home kwake kwani nilimpa akuletee tunakaa naye jirani yeye tunamwacha nyuma sisi tuko mbele yaani kigamboni. halafu kwanini hujamtumia copy mume wangu Mentor atajuaje yeye kama wewe umejipumzisha, ila usijali nitamwambia kwani mm umeshanipa cc yangu
 
Last edited by a moderator:

We mwana we, huyo watu8 isikuchanganye hiyo babyface, ni mtu wa makamo, ana mabinti wakubwa kabisa ambao wameolewa ambao ni WiseLady, charminglady(kaachika na bado ana mimba ya watu) na sweetlady(Naye kaachika ila ana mtoto wamezaa na nitonye).
Kuhusu cheti chenu cha ndoa hakijafika kwangu, kuna cheti nilikiona Chimbuvu alikuwa anapigiaa picha na wadada mitaani, labda ndo chenyewe, msalimie Mentor.
 
Last edited by a moderator:
Ushindwe na ulegee, nitonye hana hadhi ya mimi wewe...

Akishakuzalisha ndo anakosa hadhi ee...!! , usidharau nazi embe huwa linapatikana buguruni sokoni miezi flani tu
 
Last edited by a moderator:
kama hakukupa cheti chetu cha ndoa ngoja nikutumie mm mwenyewe kwani ninayo original yake naitoa copy hapa nakutumia isubirie inakuja muda sio mrefu hapa hapa wkwani Chimbuvu alikuwa msimamizi wetu tulimwamini ndo mana tukampa akupe nimeongea naye kwa simu kasema amesahau nakutumia sasa hivi pokea weka katika list yako subiri hicho hapo
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
nimekutumia sasa hivi kwani hujakiona angalia humu mjengoni kiko utakiona nimekituma kingine kwani kile ndo hivyo tena yeye kasema amekisahau kumbe anakipigia picha huko oky nimemsamehe ila nimekituma kiangalie hicho hapo chini jamani
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • imagesCAA2171V.jpg
    12.7 KB · Views: 65
  • imagesCAP46OXK.jpg
    4.6 KB · Views: 59
Last edited by a moderator:
haya ni makubwa umekosea kabisa nilishatumaga kwa Filipo asafishe hizo picha na ngoja nimwambie alete hapa ili mzione maana nyie mwajua kubandika za watu hapa siwezi kuwa mnene kiasi hicho na wala sipendi kufanana na watu wanene kiasi hich
ladyfurahia picha zenu hizi hapa za ndoa




 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…