Vin Diesel na KOKUTONA wapendanao muda huu wanaua chawa na kunguni vitandani mwao nyie saa hivi kila mtu kashika kimchina chake anachat mmekosa kazi
Ngoja nimwite gfsonwin aje awafunde na AshaDii maadili ya nyumba
Mi Mamndenyi analea kachanga ndo maana niko na kimchina changu hapa

Kwa hiyo ukini MISS?
Basi tuu nimekumiss kama nini na nakupenda kama nini KOKUTONA ila upendo wa kawaida kama nini sijui
Vin Diesel asiwe na wivu kabisa
Mhhh! ha ha haaa, hauwi wala haitii kizunguzungu lol
KOKUTONA hebu tukafanye ekperimenti ya baiolojia zetu tuone kama zimekaa kijoka la kibisa
Halafu uje umwelezee Vin Diesel matokeo yake
MY BIOLOJIA is spesho for Vin Diesel only
hapa nilikuwa nawaangali na kwa mujibu wa masaa mlianza haya maongezi toka saa 21:20 hadi 22:20Hapo sawa, haya nipe stori ya huko ulokokuwa umejificha.
Vin Diesel na KOKUTONA wapendanao muda huu wanaua chawa na kunguni vitandani mwao nyie saa hivi kila mtu kashika kimchina chake anachat mmekosa kazi
Ngoja nimwite gfsonwin aje awafunde na AshaDii maadili ya nyumba
Mi Mamndenyi analea kachanga ndo maana niko na kimchina changu hapa
gfsonwin maongezi yalikatika baada ya kukutona kuanza kuongea kwa sauti ya kubana na kurembua macho nikaona sasa huu msala Vin Diesel anaweza pata brain konkosheni bure
Mamndenyi mzima wewe. Nimekumiss mbaya aise
KOKUTONA uko salama aise. Nimekumiss kama nini

KOKUTONA wangu aliniambia kuwa Mr Rocky hana madhara kabisaaaaaaaaahapa nilikuwa nawaangali na kwa mujibu wa masaa mlianza haya maongezi toka saa 21:20 hadi 22:20
sasa kwa mamlaka niliyonayo ya uenyekiti wa UWJ ninatangaza kwamba ndoa ya Vin Diesel na KOKUTONA iko hatarini kuvunjika kwa hila za Mr Rocky
Nakupata mama watoto.. Nimekumisije?
hapa nilikuwa nawaangali na kwa mujibu wa masaa mlianza haya maongezi toka saa 21:20 hadi 22:20
sasa kwa mamlaka niliyonayo ya uenyekiti wa UWJ ninatangaza kwamba ndoa ya Vin Diesel na KOKUTONA iko hatarini kuvunjika kwa hila za Mr Rocky
Kaizer my dear mambo......unakuja lini tena?
Vin Diesel ushasema hapo sasa kuwa umemiss charminglady
Mh mi chichemi chigala!
Umeona bosi gfsonwin watu walivyo na hiyana.....hivi mimi ninavyompenda Vin Diesel alafu mtuvunjie ndoa yetu.
Tumia mamlaka uliyopewa kumstopisha Mr Rocky, please.....
Mamdenyi una utani na Passion Lady.....?