Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
eeeeeeh!kazi ipoKOKUTONA hivi ungejua gfsonwin ni mwalimu wangu wa biology na ananifundisha ile topic ya reproduction usingesema
Vin Diesel si kuna wakati alikuaga anaenda kukupikia msosi muda huo ndo niliongea nae kwa kirefu sana
gfsonwin ukiona sehem wanapiga kelele sana we jiendee tuu maana hapo kuna issue
asante binamu kwa protection. Kesho nitaleta cv yangu
I love you Vin Diesel, VERY MUCH
KOKUTONA hivi ungejua gfsonwin ni mwalimu wangu wa biology na ananifundisha ile topic ya reproduction usingesema
Vin Diesel si kuna wakati alikuaga anaenda kukupikia msosi muda huo ndo niliongea nae kwa kirefu sana
gfsonwin ukiona sehem wanapiga kelele sana we jiendee tuu maana hapo kuna issue
We dogo huyo mkeo anatumiama meseji na Ben Saanane we umekaa kimya tu, itakula kwako, labda huzijui sera za ki pipoz pawa, atakuwa hachomoki pale, muulize mkongoman chimbuvu analia kama mtoto, mcheki hapa
usijali wifi,atakua amejichanganya,ana mambo mengi yanammix kumkichwa!
eeeeeeh!kazi ipo
Inakuaje kaka? Mambo iko poa?
Nicas Mtei yako poa sana aise
KOKUTONA hebu nenda kule pembeni tuongee kidogo nina maongezi ya siri kidogo na wewe
Mkwe,
Mzima wewe.
View attachment 84800 nyie endeleeni tu mtanitambua mie niliwahi kuwa nani.
hahahaha ha ha ha hahahaha
hii nayo kali
ilimradi umeweza kurejea town naona utayasahau yote yaliyokupata.