From the desk of the Chairman Baba v.

HAllooooooo hallo my luv,,ona wimbo mzuri nakuimbia,,
ukweli nilikupendaaaa,sikutaraji ungekwendaaa,
helloooooooo,hellooo my luv,
uliyefanya mi niyajue mapenzi ni weweeeeee,
mbona sasa umenitupa mbona sasa umenitenga my luv,,,,,,
najiuliza mengii,,
labda siyajui mapenziii,nshakuwa mpuuzi,,
mbona sasa umenitupa mbona sasa umenitupa my luv.
Helloo hello my luv.
 

hahahahhahaah! wanasema usisijisifu una mbio msifu na anaye kukimbiza
 
nani kasema?? kwa taarifa yako Mr Rocky mpe trillion za hela zitafika pasi kuguswa hata sh kumi ila mke tena kakutona utalia aisee. umesahau kwamba huyo ni kijana wa kichaga aliye riajli enh!!

Sasa kwa mwendo huu naomba nitoe ban kwa Mr Rocky kuwasiliana na my wife wangu KOKUTONA.....naomba uwe shahidi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…