Na wewe kwa kusarandia wake zangu hujambo....subiri ujiachie kwa ex wangu....
Vin Diesel leo nimefunguka
bandika ile talaka hapa kwenye kioo
mie nipite na zangu nikuache unaendelea kutanga na njia.
Huyo ni kaka au kamba?
aweke nini
kwa taarifa ni kaka damu tokatoka kamba ni kwa mtazamo wako wewe chunga kimywa nitakwenda kuchukua PF3 kwa ajili yako unajua umefanya kosa la jinai kumwita kaka yangu kamba tena ktk kifungu cha sheria Ibara ya 52:nannukuu "kinasema kuwa ni kosa la jinai kumdhalilisha, kumtusi au kumwangalia ivibaya mwenzio kama utafanya kosa hilo sheria kali zitachukuliwa" sasa unataka tufanye hivyo niruhusu kaka Erickb52 nimpeleke mahakamani huyu
KOKUTONA nikiamua kutulia mara unanideep mara unanimissed call mara notification mara unanitaja taja. We kama Vin Diesel hakufai sema watu wajitolee kukusaidia
Baba V umeona eeehh
Mamndenyi nimekumissije aise mpaka natetemeka
Na mie nipo busy nasema nina mke....khaaaaa!
Wizi mtupu
Unavyomtokea Passion Lady, na kumwambia Paloma aje nyumbani kwetu unadhani mi napenda.
Hata hivyo nimegundua una wivu na mimi means unanipenda sa
I DO LOVE YOU VERY MUCH.
Sijajua dia ndo maana nilikataa.....
Kuna mtu kipindi flani alitoka kule siasani akaja hapa akasema wanawake na mabinti wote wa chit chat wana MASTERS , sikumwelelwa ila katika uzi huu nawashukuru KOKUTONA , Madame B na Evelyn Salt kwa kunifumbua macho..:der:

haeleweki huyo hata kidogo
sijambo Slave,naona loya ananitaka ubaya hadharani!
Missed call or ..!!?
kulikoni Slave!