Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,230
Baba V tulia,hizo proffesions zote zilishindwa kwa kuwa walizipeleka kusikostahili.Wacha Madame B akuambie hii weekend tulivyokula batazHumjui Madame B wewe, yupo kwenye kuonjaonja proffesions mbali mbali, alian
alianza na mfanyabiashara, akahamia kwa daktari, akafuata mwanasheri, then mganga wa kienyeji toka congo ambaye alikuwa anamchanganya na mwalimu na mmachinga, naona saivi zamu yako mwanasiasa,, who is next...!?? I don't know
Ha ha ha,Mpenzi Upo?
Mh! Huyo Erickb52 atapeleka taarifa kwa watu,afu waje watengue ndoa yetu bure.
Ben Saanane, Come Baby,come.
Asee chalii naomba ukae mbali na mke wangu KOKUTONA.....
Oh nimekuja mpenzi wangu,kule siasani wamenianzishia kashfa eti nilimpa mimba dada mmoja.Hizo ni mbinu za akina Nicas Mtei ,Baba V Arushaone na wapenzi wako wa zamani....lakini tumeshakubaliana mimi na wewe haturudi nyuma.Nakupenda mwandani wangu.Wewe ndiye tulizo la moyo wangu
Ha ha ha,
Nasi nam-delete...Swits,nilishtuka maana alinikaribisha kwa staha sana
I got it Filipo! Nitafutie jamaa aitwaye Ben Saanane nimfanye HAMNA.
Sasa we ndo mbea
Ushawahi kulipuliwa wewe?utaanza kula kwa kutumia miguu
I got it Filipo! Nitafutie jamaa aitwaye Ben Saanane nimfanye HAMNA.
Tatizo sio Ben Saanane wala Ben saatisa....tatizo mkeo kaharibiwa na Evelyn Salt
Tatizo sio Ben Saanane wala Ben saatisa....tatizo mkeo kaharibiwa na Evelyn Salt