Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,230
Erickb52 umeona eeh?waelekeze vizuri hasira zao kunakohusika.Wacha sie tule bataz bhana Evelyin salt ni shemeji yangu nampenda sana.Ni bonge la inlawTatizo sio Ben Saanane wala Ben saatisa....tatizo mkeo kaharibiwa na Evelyn Salt
I got it Filipo! Nitafutie jamaa aitwaye Ben Saanane nimfanye HAMNA.
Chimbuvu Mapenzi yetu ni ya kujitoa mhanga.Kujilipua....Bunduki hazitutishi,namfanyia training Madame B ya Round kicks,judo.Mimi niko fit,so my princess! ha ha ha.poleniBen Saanane bang bang bang ntakupiga na kitako cha bunduki
yaaan wewe shm kweli kila mwamba ngoma huvutia upande wake na hiyo mchanguane kama kawaida yenu, hivi utanieleza wakati mimi na platozoom tuna mda gani na hatujawahi kuleta kesi wala mashitaka si kwa mwenyekiti hata kwa balozi.
Allah hakukosea aliponionyesha njia ya kuja mikononi mwako...........Nitunze ili wanga wasije kukupora.
Hahahaaaaaaa............... Chimbuvu my dear,
Dahhhhh........!!!!!!!!!!
Ulikuwa wapi siku zote...........!!!!!!!!!!!!!
Koh koh
Best kapo...... platozoom na bibie mwandani wangu ummu kulthum period!
heheh njoo kwetu huku nikununulie Grand Malt itakuondoa msongo...
Nimerudi mkuu, mambo yanakwendaje!!??
Na bado mpaka ukohoe damu mwaka huu.
hiyo nasikia inaongeza nanihii eti kweli?
Mhurumie mwenzio, akikohoa damu atakuwa Ana severe chest infection
mie mzima mpendwa wangu...lete habari ya mwambao!!!
Wivu gani na huku kila kitu napata
Oh nimekuja mpenzi wangu,kule siasani wamenianzishia kashfa eti nilimpa mimba dada mmoja.Hizo ni mbinu za akina Nicas Mtei ,Baba V Arushaone na wapenzi wako wa zamani....lakini tumeshakubaliana mimi na wewe haturudi nyuma.Nakupenda mwandani wangu.Wewe ndiye tulizo la moyo wangu
Huyu si ananitaka ila mi wazee siwataki coz perfomance yao iko chini sana lol