FT: 2022 Uefa Champions League Final | Liverpool 0-1 Real Madrid | Paris, France

FT: 2022 Uefa Champions League Final | Liverpool 0-1 Real Madrid | Paris, France

Ukweli ulio wazi, [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 haina team za kuchachafya UEFA. Bado sanaaaaa
R.madrid kaiheshimisha LALIGA,
Hadi Barcelona waliwapa pongezi Sana Madrid kwa ushindi.

Waingereza msimu uliopita kuingia wenyewe fainali, na msimu huu kuingiza timu 3 nusu fainali walikua na makelele mno[emoji4]
 
Ona huyu nae, hapo England hakuna uchafu wa kushindana na Madridi kwenye haya mashindano, hii ni moja kati ya madridi mbovu ila Liverpool, Chelsea na Man City zote zimetoka kwa vipigo vikali, nisimsahau PSG ambae wengi mlipigia chapuo kuchukua taji.

Hakuna mpira England.
Sahii kabisa
 
Kipa wa real Madrid wakushukuliwa Sana alasivyo wangechezea kichapo Cha mbwa Koko..[emoji23]
Kotwaaa ana mikono mingi mno[emoji4]
IMG_20220529_082144.jpg
 
Madrid waliwaheshimu sana Liverpool na ndio maana walikuwa kama hawapo vile,

Mechi ya Chelsea na madrid kwangu ndio ilikuwa finali
 
You are right history does not remember who was the best but who was winner and Madrid ndiye winner.
Sio history tu, hata kombe haliangilii statistics.
Being the best ni pamoja na kutumia nafasi unazopata, kuzuia kufungwa nk.. Sio kuhesabu shots ulizopiga.
Mmekomaa kwamba Kipa ndio kaibeba Madrid as if yeye sio mchezaji wa Madrid.. Niwakumbushe tu timu ya mpira Ina golkipa, mabeki, viungo na washambuliaji. Timu bora inatakiwa ikamilike hizo idara na iwe na mbinu sahihi. Kuwa na mbio nyingi uwanjani na kupiga piga bila mipango pia doesn't mean uko vizuri. Wenzako first chance tu imo, japo goli lilikataliwa.

Mnadhani mna timu nzuri ila it's just in your head. Kuwafunga Newcastle, Southampton and the likes huko kwenye ligi kunawadanganya. Mmefika final kwa kukutana na vitimu vya ajabu ajabu tu.
 
Fact tupu[emoji106][emoji4]
 
Back
Top Bottom