R.madrid kaiheshimisha LALIGA,Ukweli ulio wazi, [emoji1022] haina team za kuchachafya UEFA. Bado sanaaaaa
Sahii kabisa, [emoji4] uyuBora hata city tuliwapelekea pumzi ya moto Madrid [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sahii kabisaOna huyu nae, hapo England hakuna uchafu wa kushindana na Madridi kwenye haya mashindano, hii ni moja kati ya madridi mbovu ila Liverpool, Chelsea na Man City zote zimetoka kwa vipigo vikali, nisimsahau PSG ambae wengi mlipigia chapuo kuchukua taji.
Hakuna mpira England.
Ha ha ha....Real Madrid kapiga Top 3 yote ya EPL.
INASIKITISHA
Kotwaaa ana mikono mingi mno[emoji4]Kipa wa real Madrid wakushukuliwa Sana alasivyo wangechezea kichapo Cha mbwa Koko..[emoji23]
Man of the match[emoji28]Hakuna aliekataa ndugu ni ukweli dhahiri liver walicheza mchezo mzuri Madrid kipa wao kafanya vyema Sana wamuandalie kazawadi kake pembeni.
Man of the match[emoji28]View attachment 2244097
Sio history tu, hata kombe haliangilii statistics.You are right history does not remember who was the best but who was winner and Madrid ndiye winner.
Fact tupu[emoji106][emoji4]Sio history tu, hata kombe haliangilii statistics.
Being the best ni pamoja na kutumia nafasi unazopata, kuzuia kufungwa nk.. Sio kuhesabu shots ulizopiga.
Mmekomaa kwamba Kipa ndio kaibeba Madrid as if yeye sio mchezaji wa Madrid.. Niwakumbushe tu timu ya mpira Ina golkipa, mabeki, viungo na washambuliaji. Timu bora inatakiwa ikamilike hizo idara na iwe na mbinu sahihi. Kuwa na mbio nyingi uwanjani na kupiga piga bila mipango pia doesn't mean uko vizuri. Wenzako first chance tu imo, japo goli lilikataliwa.
Mnadhani mna timu nzuri ila it's just in your head. Kuwafunga Newcastle, Southampton and the likes huko kwenye ligi kunawadanganya. Mmefika final kwa kukutana na vitimu vya ajabu ajabu tu.