Tembosa
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,487
- 3,978
Uganda on lead
14'
Foster anawapatia South Africa Goli la kuongoza.
HT
1-0
=================
Kipindi cha pili.
45'
Mpira umeanza kwa kasi kidogo, umiliki kwa Uganda.
51'
Goooooooooooal Uganda wanazawasisha hapa kupitia D. Omedi anapiga shuti zito nje ya 18.
Chuma cha kwanza kwa Uganda.
1-1
52'
Game on Uganda na umiliki wa mpira hapa.
53'
Goaaaaaaaaaal la pili.
Uganda wanapata goli la pili la kuongoza kupitia kwa Mato.
Shuti refu linapigwa kuanzia karibu na katikati ya Uwanja.
1-2
Viva East Africa...
Game On.
76'
Uganda wanajitahidi kufanya mashambulizi ya hapa na pale
1-2 matokeo
78'
South Africa wanapata free kick nje kidogo ya lango ya Uganda
Inapigwa na Mokwena...
Anapiga inakwenda nje
goal kick.
80'
Uganda wanafanya Sub.
Mfungaji wa Goli la pili anatoka.
85'
South Africa wanapata kona inapigwa inapita bila kupingwa
Game On
1-2
88'
Ojera wa Uganda anaonyeshwa kadi ya njano hapa.
90'
Zimekamilika nyongeza ni 6'
90+4'
Goaaaaaaaaaal South Africa wanasawazisha dakika za Jiooooooni
2-2
Game On...
FT
2-2