Kila moja much know, hawawezi kuelewanaNi rahisi Mbongo kumuunga mkongo Mganda kuliko Mkenya sijui kwanini.
Niko tofautiNi rahisi Mbongo kumuunga mkongo Mganda kuliko Mkenya sijui kwanini.
Waganda ndugu zetu kabisa ndio maana Idi amini alitaka kutuunganisha by forceNi rahisi Mbongo kumuunga mkongo Mganda kuliko Mkenya sijui kwanini.
Heeh...! YANGA kweli sio watu wazuri. Bado unaiota YANGA.Yanga hawatafika makundi club bingwa ni wabovu😀
Dah mamake
uro vile...magoli ya dakika za jioniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiNdio usenge wa kupaki basi